Friday, 17 June 2016

RAJOMBO STATIONARY & INTERNET CAFE'

Inawatakia Waisilamu wote kheri ya kukubaliwa dua zao katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan unaoendelea !!

Image result for ramadan kareem facebook cover

Rajombo Investment
More Efficiency !!

Thursday, 9 June 2016

UNAMILIKI SHULE?

Kampeni ya " Mguu Mpaka Shule" inakujia ulipo
Image result for foot to school cartoon 
Bidhaa na huduma zetu tunakuja nazo mpaka shuleni kwako tukiwa na punguzo la 45.5% kwa ajili ya shule yako.
Itaanza baada ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani,jiandikishe sasa tuweze kukufikia mapema
Tuma ujumbe hapa
rajombo@hotmail.com